WAKATI wa ujana wake, George Foreman alipambana kwa ujasiri katika ndondi na kuacha historia ya kuvutia na sasa akiwa na miaka 75 akiwa anatumia muda mrefu kuhimiza upendo anapohutubia kanisani ...
Walati wa ujana wake, George Foreman alipambana kwa ujasiri katika ndondi na kuacha historia ya kuvutia na sasa akiwa na miaka 75 akiwa anatumia muda mrefu kuhimiza upendo anapohutubia kanisani ...
KATIKA hali isiyotarajiwa, wanafunzi wa awali katika Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, katika Mtaa wa Namanyigu Kata ya Mshangano, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, walimpa Rais ...
"Mimi ni mtu wa kubadilisha badilisha mlo wa mboga mboga au vyakula visivyo vya nyama. Situmii maziwa na mara chache huwa nakula nyama," anasema Nicola mwenye umri wa miaka 54 kutoka Kent.
Mamlaka ya Singapore imekuwa nchi ya kwanza duniani kuruhusu nyama ambayo haijatoka kwa mnyama aliyechinjwa. Maamuzi hayo yametoa mwanya wa kuanza kuliwa kwa nyama ya kuku ambayo imetengenezwa ...